Kitu cha kijifunza ni andika Story kwa Lugha moja kwa Ufasaha.Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior
Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti anachangamana na maservice wenzie hata kidogo yeye marafiki zake ni p staff na alikuwa nawachoma wenzie
Ilikuwa akikukuta wewe journer unakosa anakupiga doso wakati anakupiga doso anakwbia una mugemea nan hapa kikosini unajua mm kwetu ni majeshi nina ndugu breged nina ndugu kanal uyo ndio mwenye cheo kidogo hadi meja general sisi kwetu wapo
Maisha yakawa ivyo kwa huyo kijana wakati jwtz imekuja fanya usahili kwa vijana yeye alikuwa ni mtu wakujitapa tu bog haliniachi mwisho wa siku bog limekuja kusomwa hayupo yaani hakutajwa kabisa baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya kuchekwa na kutolewa mfano tu
Kuna la kujifunza hapoa
Hakunaga kuchapia unajifanya mjuaji kweliKitu cha kijifunza ni andika Story kwa Lugha moja kwa Ufasaha.
Sinior hii inaandikwa Senior
Juorner hii inaandikwa Junior
Mbona hata kiswahili chako n kibovu mkuu...? Ww n mtanzamia kwel....Hakunaga kuchapia unajifanya mjuaji kweli
Mm english sikuzaliwa nikalishwa mdomon bhna
Muhimu napumua wewe mwenye kiswahili kizur umefika nacho wapiMbona hata kiswahili chako n kibovu mkuu...? Ww n mtanzamia kwel....
HapanaWewe ulikuwa op jiajiri huyo mtu alikuwa op utandawazi kikosi 832kj kataaa kataaa
Nilijua mimi sijui kiswahili labda, mpka nikasoma hiiπKuelewa alichoandika tu unatakiwa uwe na mzinga wa konyagi pembeni πΉπΉπΉ
Huijuii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]92kj niijue mimi
Poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa nimeshiba ugali dona bhna na togws
Hakunaga mjeda wa kike pisi kali wote sura zimechachuka wamekomaa, umemuona yule aliyewatuma kumbaka binti wa Yombo? Ndio uhalisia wao πΉπΉπΉUkisikia hizi kauli jua huyu ni wewe.
πππππUnataka kusema hakuna mjeda pis kali!??
Hamna bana mbona mie pale Lugalo nimekutana na wajeda pis kali wana utyako mchechetooo!?Hakunaga mjeda wa kike pisi kali wote sura zimechachuka wamekomaa, umemuona yule aliyewatuma kumbaka binti wa Yombo? Ndio uhalisia wao πΉπΉπΉ
Unavyoandika km da mau βbafoβ kitu gani? π€£Bafo hatujapokonywa bhna
Zilikuwa genye hizo, narudia tena wajeda pisi mbovu π€£π€£π€£Hamna bana mbona mie pale Lugalo nimekutana na wajeda pis kali wana utyako mchechetooo!?
Daah sio genye banaa πππππ au nikurushie pic umuone!?Zilikuwa genye hizo, narudia tena wajeda pisi mbovu π€£π€£π€£
Wanatumia nguvu sana kwenye mapenzi, kuna mmoja jirani yetu alikuwa anahonga kupata faraja ya kupendwa..
Hivi wewe unatumia keyboard ya kimakonde?? βNaemdaβ kitu gani?Mimi naemda nipo njian naenda msata
Hapana thanks muda wa kulala huu halafu nimekunywa shots kutishana sitaki πΉπΉπΉDaah sio genye banaa πππππ au nikurushie pic umuone!?
Khaaa we si ulikataa sio mnywaji!??Hapana thanks muda wa kulala huu halafu nimekunywa shots kutishana sitaki πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉKhaaa we si ulikataa sio mnywaji!??
πππππ
Hivi wewe unatumia keyboard ya kimakonde?? βNaemdaβ kitu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakunaga mjeda wa kike pisi kali wote sura zimechachuka wamekomaa, umemuona yule aliyewatuma kumbaka binti wa Yombo? Ndio uhalisia wao [emoji81][emoji81][emoji81]