Short list ya interview ya udom iliyosemwa ipo gazeti gani?

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
Jamani kuna mtu kaipata short list ya walioitwa kwenye inteview ya udom?maana jana tumeambiwa itatolewa leo kwenye magazeti.
 
ingia kwenye website yao hamna shortlist wote walioomba kazi wameitwa kufanya writen interview cheki fani uliyoomba tafuta nauli uende kupiga written interview

ingia hapa The University Of Dodoma

kiasha nenda kwenye current news tangazo la juu
 
kaka kumbe na uku una ushauri mzuri tu dah nimeshangaa sana minilifikiri umejikita tu kule kwenye jukwaa la mambo yetu.
 
Du funzadume asante sana imefunguka hiyo PDF wangeweka pia katika magazetii wote wayapate, lakini tutawahi kweli? Tanzania hiii
 
Back
Top Bottom