Pierre2017
Member
- Apr 16, 2019
- 48
- 28
Habari wakuu..naomba ushauri short course gani inaweza kumsaidia mtu wa elimu ya kidato cha nne ambayo pengine haitamuhitaji awe na experience ya muda mrefu ili aajiliwe!?
Asome plumbing and pipe fitting pale CHUO cha MAJI, atakuwa fundi bomba mzuri hatajutaHabari wakuu..naomba ushauri short course gani inaweza kumsaidia mtu wa elimu ya kidato cha nne ambayo pengine haitamuhitaji awe na experience ya muda mrefu ili aajiliwe!?
ThanksUdereva
ShukranUdereva
Kuna udeleva ushonaji na uremboHabari wakuu..naomba ushauri short course gani inaweza kumsaidia mtu wa elimu ya kidato cha nne ambayo pengine haitamuhitaji awe na experience ya muda mrefu ili aajiliwe!?
Asome plumbing and pipe fitting pale CHUO cha MAJI, atakuwa fundi bomba mzuri hatajuta
hata ukisomea uendeshaji wa mitambo au crushers za migodini unapaa ndani ya muda mfupi
mitambo gani kiongozi!!?Kama amejipanga akasomee uendeshaji wa mitambo niliona form yao ni laki 9 kasoro.
Mitambo hyo kwa pichamitambo gani kiongozi!!?
Kwa muda gani hii mkuu na Ada zake je zipoje?Asome plumbing and pipe fitting pale CHUO cha MAJI, atakuwa fundi bomba mzuri hatajuta
Kwa muda gani hii mkuu na Ada zake je zipoje?
ni wiki 1 tu ada nadhani ni laki nne, ila kama hujawahi kabisa kufanya kzazi ya plumbing ngumu sana kuelewa ndani ya wiki 1Swala la ajira limekuwa mwiba hapa tz
Asipoajiriwa na idara ya maji kwake itakuwa changamotoAsome plumbing and pipe fitting pale CHUO cha MAJI, atakuwa fundi bomba mzuri hatajuta
ufundi wa magar na umeme wa magar una short course ya muda gan na ada yake ikojeAsome hii kitu kwa pamoja aelewe vizuri kwa vitendo ( udereva + ufundi magari + ufundi umeme magari + kupaka rangi magari) baada ya hapo mpe siku 7,kazi atakuwa nayo kama sio kujiajiri.