Niliingia kule siku moja nikabaki mdomo wazi. Akina mama kibao wanajitangaza wengine wanaweka mpaka picha halafu hawafichi kama wameolewa.
Ila seriously...ukijifanya we baller utafilisika manake totoz kibao zimekaa kimaslahi. Mara ooh Ngabu nimeziona UGG boots nzuri hizo...nataka uninunulie zawadi ya Krismasi....mara huyu sijui kaona gift set ya Gucci naye anaitaka....mwingine anakutumia text message anakwambia Spa Sydell wana holiday spa treatment winter sale anataka aende...hehehehee sasa hapo we jifanye unazo uone maumivu yake
halafu bubu ujue unanichekesha saana?
eti niliinigia siku moja nikabaki mdomo wazi..lol
isije kuwa wewe kwenye huo mtandao ni premium member kama hapa jf...lol
Mhhhh! G!
Mmmh nini? Mla huliwa! Lol
kwani zina cost kiasi gani?
just curious..lol
Sio ghali evoo, kuanzia 150$ unapata.... Ngabu tu nae anabana!
Hehehe lol! Scratch my back.....
Zawadi muhimu G...nakuunga mkono na mguu 🙂🙂 :majani7: :majani7:kwenye hili hasa ukitilia maanani wiki nzima njemba inajidai tu.Eee haipendezi mtu kukaa na wewe wiki nzima ya likizo, kisha ukashindwa hata na kijizawadi kidogo....
Hamkufundishwa tabia njema nyie kwani?
Waeleze wenzio waache ubaghili.
Zawadi muhimu tena iwe nicely wrapped :]
G kupeana zawadi nyakati mbali mbali katika mwaka ni namna mojawapo ya kuonyesha penzi, ukiwa na mkono mfupi mlimbwende anaweza kuingia mitini ukabaki unajilaumu.
Suala moja ambalo wanaume wengi hawalijui. Mwanamke hatai "sensible" zawadi....wanataka "sentimental" zaidi
Mtu anakununulia lens mpya ya kamera ati zawadi!!! Agggggr
Mhhh! G! Sentimental presents eeh! Inabidi uweke darasa la hali ya juu hapa jamvini ili Wanaume tujue ni zawadi gani wenzetu mnazozipenda badala ya watu kukurupuka na kununua vitu ambavyo haviwagusi kihivyo.
Kuna watu wanakuwa wagonjwa kwenye haya mambo ya shopping mpaka wanatafuta ushauri wa wataalam wawasaidie kuacha hii tabia, ndo hao wanao wapuliia wnzao pipili machoni ili wapae wao.