wadau habarini za j pili jana viwanja vya leaders kulikuwa na shoo ya mkali koffi je alipiga fresh au ilikuwa magumashi tujuzeni sie watu wa mikoani ambapo wahandaaji hawataki kuleta wasanii wakubwa nawakilisha[/QUOTE
Mh kama huku kwetu wanatunyanyapaa sana sjui kwasababu hamna airport ya kueleweka?