utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Ni kada wa ccm anayeichanachana chademaHuvi huyu Shonza ni nani katika siasa za Tanzania??!!!!!!!!!!!!!!??
Mkuu hicho ni kikosi cha anga, ardhini na majini, kinapia kote kote...kilianza na iramba sasa arusha...hakuna kuwapa nafasi machadema ni kuwaachia manundu tuuuuuCombination ya Shonza, Mwigulu na Mtela ndio 'full stop' kwa CHADEMA.
Kwa sasa CCM na serikali viwe tuli, CHADEMA ameshapatiwa 'full stop' yake.
Martin MunisiTANURU LA FIKRA
Nawapongeza sana vijana nakini Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kwa kazi mzuri waliyo ifanya leo kata ya Kaloleni Mianzini Arusha chadema waliwatuma vijana wa kuzomea lakini sera zikawanogea wakajisahau baadae walisikika wakisema kumbe hii Chadema inatudanganyaga mbona huyu mdada alikuwa jikoni lakini katoka huko ? Tujiangalie chali wangu!!!"" !!!!
Like · · 3 hours ago near Arusha, Dar es Salaam ·
4 people like this.
We shonza wa ajabu kweli nimekudharau huna msimamo hata hufai kuolewa ukiachika utatoa sira za mume wa kwanza hata kama alikufaa sana haujafundwa ndo maana huna kusitiri msungo wewe unasubiri uonewe huruma upate upendeleo mwana siasa utakua wewe msungo kama wewe mwangalie hata haya huna kazi kuwasema vibaya viongozi walokulea ovyo kubwa zima.
Juliana Shonza
Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii.
Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara tumeshushwa jukwaani.,mara tumeisifu chadema jukwaani.
poleni sana safari hii hamchomoki.Tarehe 16 tusikimbiane tukutane hapahapa tupeane matokeo.
viva ccm vivaaa
Shonza alisema maneno haya katika mkutano wa karoleni naomba ninukuu"Chadema wana tabia sawa na nguruwe,maana ni nguruwe pekee mwenye sifa ya kula watoto wake pindi akisikia njaa,hiyo ndiyo chadema"
chezea shonza wewe anawapa unyago wa kutosha .
iron lady mwarobaini wa chadomo
Huvi huyu Shonza ni nani katika siasa za Tanzania??!!!!!!!!!!!!!!??