Shonza: Chadema wanatapatapa.sijaisifu jukwaani

Status
Not open for further replies.

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Juliana Shonza

Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii. Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara tumeshushwa jukwaani.,mara tumeisifu chadema jukwaani.

poleni sana safari hii hamchomoki.Tarehe 16 tusikimbiane tukutane hapahapa tupeane matokeo.

viva ccm vivaaa
 
Hakuna aliyeleta taarifa za wewe kuisifia Cdm acha upotoshaji.usifikiri wote humu ni waruwaru.wewe umesema kwamba mafisadi wengi sana wako ccm,sasa kama ulikuwaumechukuliwa na mapepo sema utaeleweka ila sio kutubadirishia story.
 
Martin MunisiTANURU LA FIKRA
Nawapongeza sana vijana nakini Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kwa kazi mzuri waliyo ifanya leo kata ya Kaloleni Mianzini Arusha chadema waliwatuma vijana wa kuzomea lakini sera zikawanogea wakajisahau baadae walisikika wakisema kumbe hii Chadema inatudanganyaga mbona huyu mdada alikuwa jikoni lakini katoka huko ? Tujiangalie chali wangu!!!"" !!!!
Like · · 3 hours ago near Arusha, Dar es Salaam ·
4 people like this.
 
Chadema ina hali mbaya arusha, huo ndio ukweli. Nyie fanyieni siasa jf ila kwenye field mnanyolewa kwa kijinga cha moto
 
Combination ya Shonza, Mwigulu na Mtela ndio 'full stop' kwa CHADEMA.

Kwa sasa CCM na serikali viwe tuli, CHADEMA ameshapatiwa 'full stop' yake.
 
Machadema yameishiwa hoja yamebaki na uzushi uongo uzandiki na ubabaishaji.
 
Combination ya Shonza, Mwigulu na Mtela ndio 'full stop' kwa CHADEMA.

Kwa sasa CCM na serikali viwe tuli, CHADEMA ameshapatiwa 'full stop' yake.
Mkuu hicho ni kikosi cha anga, ardhini na majini, kinapia kote kote...kilianza na iramba sasa arusha...hakuna kuwapa nafasi machadema ni kuwaachia manundu tuuuuu
 
We shonza wa ajabu kweli nimekudharau huna msimamo hata hufai kuolewa ukiachika utatoa sira za mume wa kwanza hata kama alikufaa sana haujafundwa ndo maana huna kusitiri msungo wewe unasubiri uonewe huruma upate upendeleo mwana siasa utakua wewe msungo kama wewe mwangalie hata haya huna kazi kuwasema vibaya viongozi walokulea ovyo kubwa zima.
 
Martin MunisiTANURU LA FIKRA
Nawapongeza sana vijana nakini Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kwa kazi mzuri waliyo ifanya leo kata ya Kaloleni Mianzini Arusha chadema waliwatuma vijana wa kuzomea lakini sera zikawanogea wakajisahau baadae walisikika wakisema kumbe hii Chadema inatudanganyaga mbona huyu mdada alikuwa jikoni lakini katoka huko ? Tujiangalie chali wangu!!!"" !!!!
Like · · 3 hours ago near Arusha, Dar es Salaam ·
4 people like this.

Kuna vitu vingine vinachekesha....
 
We shonza wa ajabu kweli nimekudharau huna msimamo hata hufai kuolewa ukiachika utatoa sira za mume wa kwanza hata kama alikufaa sana haujafundwa ndo maana huna kusitiri msungo wewe unasubiri uonewe huruma upate upendeleo mwana siasa utakua wewe msungo kama wewe mwangalie hata haya huna kazi kuwasema vibaya viongozi walokulea ovyo kubwa zima.

Shonza alisema maneno haya katika mkutano wa karoleni naomba ninukuu"Chadema wana tabia sawa na nguruwe,maana ni nguruwe pekee mwenye sifa ya kula watoto wake pindi akisikia njaa,hiyo ndiyo chadema"
chezea shonza wewe anawapa unyago wa kutosha .
iron lady mwarobaini wa chadomo
 
Juliana Shonza

Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii.
Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara tumeshushwa jukwaani.,mara tumeisifu chadema jukwaani.
poleni sana safari hii hamchomoki.Tarehe 16 tusikimbiane tukutane hapahapa tupeane matokeo.
viva ccm vivaaa

Sina hakika kama unaukumbuka "USIKU WA MAKAMBA" kule Kanda ya Ziwa!!!??
 
Tutakutana humu tar 16 baada ya uchaguzi. Jumatatu tunakwenda manispaa kumwondoa meya wa kichina
 
Shonza alisema maneno haya katika mkutano wa karoleni naomba ninukuu"Chadema wana tabia sawa na nguruwe,maana ni nguruwe pekee mwenye sifa ya kula watoto wake pindi akisikia njaa,hiyo ndiyo chadema"
chezea shonza wewe anawapa unyago wa kutosha .
iron lady mwarobaini wa chadomo

Aaaahh! Nilikuwa sijui! Hivi kumbe kwa CCM mtu kuwa na uwezo wa kutukana ni sifa moja wapo ya kuwa IRON .... Pia sina hakika kama unajua maana ya UNYAGO!! Unless UNYAGO nayo ni sehemu ya CCM maana Baba na Mama Mwanaasha wana kaasili ka michezo hiyo. Si kila w/end tunaona vijeba vikiingizana Magogoni!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom