Shonza: Chadema wanatapatapa.sijaisifu jukwaani

Status
Not open for further replies.
Hiyo taarifa imo humu toka jana imeletwa na Mungi, kweli mnatapata.

Mkuu Ritz,
hata kwenye taarifa yangu sikusema kuwa aliisifia chadema, bali nilisema kuwa Juliana Shonza alipopanda jukwaani alianza kusalimia kwa salamu za ccm, baada ya hapo akasema NDUGU ZANGU, HAKUNA CHAMA CHENYE MAFISADI WENGI TANZANIA KAMA CCM.
inawezekana ulimi uliteleza, au kabla hajapanda jukwaani alikuwa anaongea na mtu kwa simu, sasa yale mazungumzo ya kwenye simu kabla hayajatoka kwenye mawazo yake akapanda nayo jukwaani ndo ulimi ukateleza.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu shonza siyo kama molemo ni mtu makini na mwenye kujitambua na anajua anachokifanya hizi anazoleta mungi ni hadithi za sungura na panya.
 
jana pale maeneo ya mianzini kwenye stand ya kampala coach walipata aibu ya kutosha.wamekodi viti kama stini vile alafu hakuna wa kuvikalia,wanaomba watu waje eti kuna viti na sebene ukijisikia nyanyuka ucheze.
alinichosha pale aliposema sisiemu kuna mafisadi wa kutosha,kweli uongo haudumu na unafiki hata wakati wa kukata roho utausema usipousema ukiwa hai.
huyu changudoa kweli ni majanga.
 
Mkuu Ritz,
hata kwenye taarifa yangu sikusema kuwa aliisifia chadema, bali nilisema kuwa Juliana Shonza alipopanda jukwaani alianza kusalimia kwa salamu za ccm, baada ya hapo akasema NDUGU ZANGU, HAKUNA CHAMA CHENYE MAFISADI WENGI TANZANIA KAMA CCM.
inawezekana ulimi uliteleza, au kabla hajapanda jukwaani alikuwa anaongea na mtu kwa simu, sasa yale mazungumzo ya kwenye simu kabla hayajatoka kwenye mawazo yake akapanda nayo jukwaani ndo ulimi ukateleza.

endelea kujifurahisha na wafuasi wako huku shonza akiirarua chadema ktk kila anga la nchi hii..huo utabiri wako wa nyota shonza mwenyewe amekana na kukanusha vikali na amewaomba msijifiche siku ya matokeo tr 17
 
Last edited by a moderator:
jana pale maeneo ya mianzini kwenye stand ya kampala coach walipata aibu ya kutosha.wamekodi viti kama stini vile alafu hakuna wa kuvikalia,wanaomba watu waje eti kuna viti na sebene ukijisikia nyanyuka ucheze.
alinichosha pale aliposema sisiemu kuna mafisadi wa kutosha,kweli uongo haudumu na unafiki hata wakati wa kukata roho utausema usipousema ukiwa hai.
huyu changudoa kweli ni majanga.

jidanganye huku kimoyo moyo unajuta na kusononeka..shonza ni jembe...mtakufa kwa husuda na chuki zenu hizo
 
CDM kinachosemwa CCM tusikidharau bali tukifanyie kazi kiumakini ndio njia ya kutokea!
 
[h=5]Juliana Shonza
[/h][h=5]Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii.
Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara tumeshushwa jukwaani.,mara tumeisifu chadema jukwaani.
poleni sana safari hii hamchomoki.Tarehe 16 tusikimbiane tukutane hapahapa tupeane matokeo.
viva ccm vivaaa.[/h]MY TAKE; CHADEMA FANYENI SIASA ZA KWELI ACHENI KUDANGANYANA KWA KUPEANA HABARI ZA UZUSHI
 
lakini pia chadema wamekuwa wakiandaa vijana ili wafanye fujo kwa wanaccm hasa viongozi wao sasa sijui hizi ni sela gani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom