Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,260
Ni kweli kuacha kazi mwenyewe napiga piga viHeineken ila sio vingi.Mkuu ukiwa addicted ni kama mtu akwambie kuanzia Leo wewe si Daby si rahisi kuacha mazoea
Pombe inautamu wake ila ukizidi unaharibu. Shosti kwa mwendo huo kuna siku atavumwa live maana nahisi ile chupa alisema aliiacha jirani.