Shoka moja mbuyu chini, Lissu na Zitto kimya hadi muda hii!

Status
Not open for further replies.
Sasa ilikuwaje akasema watatushtaki ilhali anajua wako nchini kinyume cha sheria?!........ Au alipokea mlungula apotezee
Wewe! Hebu ficha upumbavu wako, unajaza forum yetu kwa ujinga! Hujiulizi mbona maccm machache yale yenye akili yameamua kunyamaza?
 
Kimsingi nashangazwa sana na ujasiri wa chama tawala kujisifu katika hili.

Hivi ni kipi kilicho letwa na tume ambacho hakijazumgumzwa na upinzani?,(mapendekezo ya tume).

Miaka yote kilio iliku ni mikataba ya hovyo iliyoingiwa na watawala,pamoja na sheria mbovu za madini zilizo pitishwa na hawa wagonga meza wetu.

Kwamba wamesahau jinsi akina zitto na mnyika walivyo tolewa bungeni kwa kukutaaa huuu wizi unaoratibiwa kwa karibu na chama tawala!.
Mkuu unaambiwamikataba ya aina ile inapatikana Tanzania tu nchi ya ajabu duniani.
 
Aibu ya nini? Mbona mnakuwa kama vichaa nyie? 2007 Zitto alipozungumzia Karamagi kusaini mkataba wa hovyo hotelini London mlimfungia ubunge na kumfukuza.
Leo Magu anasema Karamagi kashiriki kutuibia mnamshangilia eti mzalendo! Kama sii kichaa ni nini? Mngemsikiza Zitto wakati ule nchi ingeokoa fedha kiasi gani? Leo hata bila aibu mnasema Zitto na Lissu ni washirika wa hao wezi wenu?
Ccm msivyo na aibu mwaweza kufanya mapenzi na watoto wenu au wazazi wenu kwa vile tuu chama chenu kimesema ni jambo jema
Umechafukwa umechafukwa, ukisoma post zingine waweza kosa hamu ya kula kabisa. Watu wengine cjui wafikiria na kitu gani. Ujinga ni maradhi hata Nyerere alisema. Kitu kiko wazi lkn watu wanazunguka. Mleta mmada sijui katumwa vileee maana sio kwa u zero ule alioleta
 
Katika umbumbumbu wa mikataba ya ovyo unaweza kuwanyamazisha watanzania wote siyo Lisu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom