Shoka moja mbuyu chini, Lissu na Zitto kimya hadi muda hii!

Status
Not open for further replies.
Nilitegemea hadi muda hii wale wasomi machachali pale bungeni wangekuwa wamesema japo neno, kuhusiana na uwasilishaji wa ripoti ya 2 ya makanikia ukitilia maanani huo ni uwanja wao wa nyumbani kitaaluma. Swali langu kwao ni moja tu, Acacia haijasajiliwa kisheria hapa nchini je wao kama wabunge makini na hasa Zitto aliyekuwa boss wa PAC kwa muda mrefu hawakuwahi kulijua hiki?!! Maana shoka limepigwa Brela mbuyu(Acacia) chaaaaalii.

Aibu nayo alipokuwa akipayuka, Sasa hana pa kuweka uso wake. Zitto Kabwe si chochote ni opportunist.
 
Wapumbavu ni wapumbavu tu. Kwahiyo enyi wapumbavu bado mnajiona ni sehemu ya acacia pamoja na ccm ya magufuli kuwaumbua bdo mnaona ccm ndo wapumbavu wakati nyie wezi wa Mali yetu ndo wapumbavu. Mmeng'ang'ana ccm ccm ccm....Magufuli Siyo ccm... Je sumaye wa chadema si ndo alikuwa waziri mkuu mikataba hii ikisainiwa?
 
Ninachofurahi ni kwamba CCM wanaenda kulamba na kutafuna matapishi yao huko bungeni..

Walipitisha sheria kwa nguvu na kuwafukuza wapinzani bungeni walipokuwa wakipitisha miswada kwa hati za dharura!

Nasubiri kuona wale wabunge wa ndioooo wakijitukana wenyewe..

Hongera Magu.. Hongera CHADEMA!
 
Wapumbavu ni wapumbavu tu. Kwahiyo enyi wapumbavu bado mnajiona ni sehemu ya acacia pamoja na ccm ya magufuli kuwaumbua bdo mnaona ccm ndo wapumbavu wakati nyie wezi wa Mali yetu ndo wapumbavu. Mmeng'ang'ana ccm ccm ccm....Magufuli Siyo ccm... Je sumaye wa chadema si ndo alikuwa waziri mkuu mikataba hii ikisainiwa?
Si alifanya hivyo akiwa CCM? Kama anahusika na yeye ashughulikiwe pamoja na wenzake wengine bila kumsahau na bosi wake. Wenyewe wanaimba CCM ni ile ile.........
 
Masaburi alivyosema kuna watu wanaotumia "makalio" kufikiri aliupata ukweli huu kwa watu kama mtoa post hii.

Fuatilia historia ya mapambano dhidi ya wizi wa madini n.a. uone ni nani katoa dira. Ushabiki wa kijinga kaa nao!
 
Lisu ni mpuuzi anatetea tumbo lake ukiona anaongea utadhan MTU mzalendo Kumbe kibaraka tu kama Wazalendo waliwezaje kuwapokea lowasa na sumaye?
 
b7022a512aca967b0a081e66b154014c.jpg
CCM ndo mchawi wetu afu manyumbu ya lumumba bado yanashangilia upuuzi pumbavu kabisa
 
Nilitegemea hadi muda hii wale wasomi machachali pale bungeni wangekuwa wamesema japo neno, kuhusiana na uwasilishaji wa ripoti ya 2 ya makanikia ukitilia maanani huo ni uwanja wao wa nyumbani kitaaluma. Swali langu kwao ni moja tu, Acacia haijasajiliwa kisheria hapa nchini je wao kama wabunge makini na hasa Zitto aliyekuwa boss wa PAC kwa muda mrefu hawakuwahi kulijua hiki?!! Maana shoka limepigwa Brela mbuyu(Acacia) chaaaaalii.
Mkuu hivi hawa wapinzani ndo waliwakaribisha haya makampuni ya madini yasiyo na usajili nchini kisheria? Hapa ni kumpongeza Rais wetu kwa uthubutu wake katika kuhakikisha rasilimali zetu nasi tunazifaidi lakini tukiwalaumu watu waliokuwa wanapiga kelele kuhusu mikataba mibovu na ya siri sidhani kama tutakuwa sahihi
 
Umeambiwa haijasajiliwa ' kisheria' na hii Tundu anaielewa tafsiri yake, wewe utakuwa mhasibu umezoea kukariri
Hata lisu haelewi alivyo na kielele na upekepke angesha lopoka kama angekuwa anajua zaid anatutisha eti tutashitakiwa?huyu mwamasheri gani?anaogopa shataka
 
Wako bize na bajet ya kambi ya upinzani, na pengine wanaisoma hiyo ripoti ili waje na nondo, hao jamaa hawakurupuki kama wale wabunge wengine
 
Tunapotezwa na mambo binafsi badala ya umma, tunapenda vioja badala ya hoja, tunachukulia utani na mashindano yasiyo na maana kila kitu hata uhai kwetu. Shame on us.
Umenena sana. Ni wachache wanaoelewa km unavyoelewa wewe. Watu wameweka vyama, maslah binafsi, sifa za kijingakijinga mbele kuliko taifa afu wanataka tuwachekee
 
Yani majinga jinga ndo yanaunga mkono mambo ya kijinga ivi hadi leo hamjui ni nani aliyesaini iyo mikataba mibovu na kutufikisha hapa tulipo. Mnajitekenya na kucheka wenyewe, mkikosolewa mlipokosea mnakasirika. Tatizo majitu ya lumumba kila kitu yanashangilia hata kama ni ukweli unapindishwa jaribuni kutumia akili sio matope
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom