Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Nilitegemea hadi muda hii wale wasomi machachali pale bungeni wangekuwa wamesema japo neno, kuhusiana na uwasilishaji wa ripoti ya 2 ya makanikia ukitilia maanani huo ni uwanja wao wa nyumbani kitaaluma. Swali langu kwao ni moja tu, Acacia haijasajiliwa kisheria hapa nchini je wao kama wabunge makini na hasa Zitto aliyekuwa boss wa PAC kwa muda mrefu hawakuwahi kulijua hiki?!! Maana shoka limepigwa Brela mbuyu(Acacia) chaaaaalii.