min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 45,962
- 126,394
Soma vizuri nilicho andikaUshawahi kukutana na mbwa amezaliwa na huluka za ng'ombe?
Au mbuzi mwenye hulka za nyani?
Kama hayo haujawahi kuona then niambie mwanaume mwenye vinasaba vyake vya kiume kwenye damu, ana anakuwaje na maamkizi ya kike ?
Kwamba tabia mtu huzaliwa nayo na sio matokeo ya kujifunza jambo kwa kuliona mara kwa mara likijirudia tena na tena?
Nyuma ya mdangaji,shoga, malaya au mnyanyasaji yoyote kuna wazazi ambao hawakua makini na mazingira yao ya malezi mtoto akafuata tabia zisizofaa kama muongozo wake.