Shoga (gay) mmoja amekataa kuchangia mchago wa harusi kwa madai kuwa hakupewa kipao mbele kwenye kadi ya mchango wa harusi alotumiwa. Hii inatokana na kwenye kadi kuwa na;
Mr/Miss/Prof./Dr./Pst./Sheikh/.......................
Hoja yake ni kwamba hawajaweka title ya "gay"
Hivyo akagoma kuchangia kwani wamedharau title yake