Shocking: Al-Shabaab

Tutachezewa sana akili na hii kitu. Selikali ya Kenya ndio yenye kuujua ukweli,Raisi amehutubia taifa la kenya mara ya kwanza ni lazima atahutubia tena taifa kutoa matokeo ya kiuchunguzi hapo ndipo tutajua mbivu na mbichi. Matokeo ya suala hili hayawezi toka kama matokeo ya uchaguzi. Tutulie tutajua ukweli kutoka kwa selikali,Raisi wa Kenya hawezi idanganya dunia.
 
Haki ya Mungu jamaa Al-Shabaab wanatisha aisee,,,watu 10 wanatoa jasho jeshi zima? Je wangekuwa wapo 50?

VIVA AL-SHABAAB
 
Tatizo polisi na wanajeshi wa Kenya wanapenda sana rushwa...! Hawana tofauti na Polisi wa Tanzania kwa RUSHWA...!

Nafikiri Tanzania wamezidi, Kuna siku traffic katusimamisha kwa juhudi kabisa tukajua speed gun imetukamata.. tuliposimama akaanza kutueleza shida yake kwa kusema .."nyie na gari yenu hamna shida wazee ila mie maji ya kunywa tu" abiria mmoja akampa 2,000/= tukaendelea na safari
 
nifafanulie,je hawa ndio walomuua mwangosi?,ndo walomuumiza Kibanda na Dr Uli?,ndio walotupa Bom Arusha???,maana vitendo vyote hivi ni vya kigaidi kwa mtazamo wako

hoja ni kuwa ugaidi unaanza kwa uchochezi, halafu vinafuata vitendo ambavyo vikiachiwa vinawapa nguvu wahusika kutenda Ugaidi mkubwa zaidi. Tuko nyuma kwa kuwa hatuchukui hatua zozote kukabiliana na uchochezi.
 
Hapo kwenye bold acha uongo, walizi wa magetini hawapewi semi automatic machine guns(SMG) kama hao unao waona kwenye picha.
Zaidi ya hapo walinzi wanapewa na vyeo vya jeshi lolote?
Huyo hapo ni Lance Corporal.
kumradhi hao ni polisi.
 
Hapo kwenye bold acha uongo, walizi wa magetini hawapewi semi automatic machine guns(SMG) kama hao unao waona kwenye picha.
Zaidi ya hapo walinzi wanapewa na vyeo vya jeshi lolote?
Huyo hapo ni Lance Corporal.

hao ni jeshi la Kenya la police
 
acha uongo wewe hao ndio polis wa Kenya wabisha nini sasa
 
Wewe jmali mbona hueleweki. unashutumu vyombo vya ulinzi vya Tz au waislamu wa Tz? Maana umeshindwa tu kuwa muwazi moja kwa moja. Kweli kuna masheikh hapa Tz wanahubiri ugaidi! au una lako jambo??? umeshindwa kuchangia mada iliyopo matokeo yake unaanzisha mambo mengine. Hamia kenya basi maana yaonesha Tz panakukera sana. Hovyoooooooooooooooooooooooo!
 
hoja ni kuwa ugaidi unaanza kwa uchochezi, halafu vinafuata vitendo ambavyo vikiachiwa vinawapa nguvu wahusika kutenda Ugaidi mkubwa zaidi. Tuko nyuma kwa kuwa hatuchukui hatua zozote kukabiliana na uchochezi.
Huna lolote wewe
 
Pakiwa na mgawanyo sawia wa haki na uhuru bila kujali rangi, jinsia , kabila dini uchochezi utakuwa rahisi kupiga vita lakini kinyume chake tutaishia kulalamika, mf tazama watoto wa kipalestina wanavyojpa ujasiri wa kujilipua just kwa sababu mtoto amekata tamaa ya kuishi baada ya kuona , baba, mama, dada, kaka na ndugu wengine wamekanyagwa na vifaru, ama kupigwa bunduki huku akiona.

Hapa kwetu tukubali tukatae kuna madaraja ya raia, wapo wanaitwa waswahili,wachovu, wasio na elimu hao, na majina mengi yanayofanana nayo, magaidi.
 
ponda:"wasio waislamu wote ni makafiri na lazima wauwawe..."

mahubiri ya ilunga hujayasikia wewe? hivyo ndio vyanzo vya ugaidi.
 
Wewe na kikwete wako mjue kuwa kama kuna nchi ambayo hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuiingia bila shida ni Tanzania ya leo. Mmetuuza kuliko maelezo kwa tamaa ya pesa na kutanua. Natamani ningekuwa na ......!
 
Maskini afande Otieno alifikiri ni wakora wa kawaida.
 
Hapo kwenye bold acha uongo, walizi wa magetini hawapewi semi automatic machine guns(SMG) kama hao unao waona kwenye picha.
Zaidi ya hapo walinzi wanapewa na vyeo vya jeshi lolote?
Huyo hapo ni Lance Corporal.

Mjibu na kuhusu wazee wanaolinda Samora, udhaifu wa kuzuia matukio ya tindikali, kung'oana kucha kunakotekelezwa na erikali ya CCM n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…