Shkamoo Prof Ndalichako

Shkamoo Prof Ndalichako

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,170
Reaction score
2,335
c1152883d9df6fb22fd29e66256ed136.jpg

Hilo ni moja ya majengo aliyojenga waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia katika shule ya msingi ujiji(alikosomea elimu ya msingi)

My take: Viongozi mwigeni huyu mama
 
Mama mpambanaji! Anafaa sana kwenye kabinet ya JPM angekuwa Lowasa ungekuta Sugu moto chini ndo waziribwa elimu wakati hata form four alifeli
 
Ni vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
 
Mama yupo vizuri yeye as yeye hayo unayoona mapungufu mengi ni maelekezo toka juu, na suala la makamera hilo ni kawaida, hakuna asiyeyapenda
 
Ni vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
Mungu alimuumba mwanamke alikuwa na maana/makusudi yake. Hakumuumba kwa haya, tunalazimisha tu! Hasa kwetu huku wanawake bado (wachache wanaelekea kuwa kama Magreth Thatcher, Golder Mayer?? na wengine wachache) lakini huku mabonde kuinama bado kabisa.
 
Ni vizuri ila sisi tunamtaka afanye mambo makubwa zaidi ya haya, aachane na utendaji wa kutaka makamera na kiki.
Mara kabadilisha grade, mara aseme kuna wanafunzi hewa vyuoni ilihali yeye ndo hana taarifa sahihi.
Huyu mama ashughulikie kero za wizara yake aache utoto kama waziri Kairuki
Kazi ya waziri wa Elimu ni kujenga shule? au sielewi
 
Majizi chadema watakuja kupinga wakati hata ofisi ya chama chao imewashinda
 
Hatutoi sifa kwa kipicha cha namna hiyo...kipicha gani hicho!!!
 
Majizi chadema watakuja kupinga wakati hata ofisi ya chama chao imewashinda

walisainisha mikataba ya makinikia,escrow,epa,lugumi meremeta meli mbovu majiz kweli kweli wazee wa vijisent na ela ya mboga
 
Back
Top Bottom