Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,106
Anatakiwa kulipa kodi. Hakuna kumwonea huruma kabisa. Tunajenga taifa letu.Utasikia TRA wanaenda kum harass
Tena sasa hivi nawadokeza TRA waende hapo kumpa mashine ya EFD.
Hapa Kazi tu.
Anatakiwa kulipa kodi. Hakuna kumwonea huruma kabisa. Tunajenga taifa letu.Utasikia TRA wanaenda kum harass
Sisi tumechukua ya jina la mtu...
Kama Trump alivyo strong anakomaa,na shishi ni hivyo hivyo
Najua,asante piaMaana nyingine ya trump ni karata yenye thamani ya juu kabisa kwenye aina ya mchezo wa karata kulinganisha na karata nyingine (kamusi ya kiingereza).
Ukiongelea mwanamke wa nguvu huwezi kuacha kumtaja shishi,unaanzaje labda kwa mfano kutomtaja....
Aja kivingine,kwa mikono yake miwili mtoto wa Igunga anakupikia chakula asilia kisicho na chemical plus juice za asili e.g tikiti maji juice,embe na passion juice plus nanasi juice na delivery juu....
Its about time wanaume wa Dar warudishe heshima kune mahusiano yao kwa kupata chakula cha asili kabisa kitakupa nguvu na kuimarisha mambo yetu yale...
Ewe dada achana na machips yanayoleta vitambi,njoo shishitrump delivery tukuhudumieee...
Yupo kijitonyama,karibuni sana...
Ef kumi yako tu....
Namba ya mawasiliano...0716101721
Tumsupport shoga yangu jamani...btw atakaekuja Kijitonyama nipo namalizia malizia kula kolekole wa mchuzi,mchicha wa karanga na ugali wangu wa motooo mlainiii(ila usiniombe[emoji23][emoji23][emoji23],hakiombeki)
View attachment 439360
Makuuuuubwa!Ni aibu kubwa sana mwanamke kutoa boko jikoni.Ila wali wa leo kapika bokoboko
Si kweliIla wali wa leo kapika bokoboko
Si kweli atakua amekula kwa shishi boy huyo...Makuuuuubwa!Ni aibu kubwa sana mwanamke kutoa boko jikoni.
Wewe scorpio me nitumie ombi maalum nije kumfunza huyo shoga yako jinsi ya kusimamia shughuli jikoni.
I see ninamuona dada wa open kitchen alivyowekeza kwenye hii biashara, kweli inalipa, uwe tu mmbunifu.Kazi nzuri,nimeipenda.Hongera Shishi...
Siku nikiwa na kidate nitapendekeza tuje kwako tukuungishe [emoji12]