Linakukumbusha wapi?Basi sawa, nitapita hapo weekend... kwanza nam-feel Shishi, sema dah, hili jina la Shilole huwa linanikumbusha mbali sana!!!
Hahahaha.... yaani madogo janja wa 1990's wa Kurasini (hususani mitaa ya Ahmed Motors) na Police Baracks wakilikumbuka jina Shilole lazima wacheke!!!Linakukumbusha wapi?