Shishi aja kivingine

Shishi aja kivingine

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,952
Ukiongelea mwanamke wa nguvu huwezi kuacha kumtaja shishi,unaanzaje labda kwa mfano kutomtaja....

Aja kivingine,kwa mikono yake miwili mtoto wa Igunga anakupikia chakula asilia kisicho na chemical plus juice za asili e.g tikiti maji juice,embe na passion juice plus nanasi juice na delivery juu....

Its about time wanaume wa Dar warudishe heshima kune mahusiano yao kwa kupata chakula cha asili kabisa kitakupa nguvu na kuimarisha mambo yetu yale...

Ewe dada achana na machips yanayoleta vitambi,njoo shishitrump delivery tukuhudumieee...

Yupo kijitonyama,karibuni sana...
Ef kumi yako tu....

Namba ya mawasiliano...0716101721

Tumsupport shoga yangu jamani...btw atakaekuja Kijitonyama nipo namalizia malizia kula kolekole wa mchuzi,mchicha wa karanga na ugali wangu wa motooo mlainiii(ila usiniombe[emoji23][emoji23][emoji23],hakiombeki)

1480070620437.jpg
 
Hahaha nimecheka sanaa eti Shishi trump khaaa kulikuwa hamna jina jingine zuri la kutumia au??

Umeangalia maana ya trump kwenye kamusi ya kiingereza kabla ya kutoa maoni yako?
 
Haha hilo ndo habari ya mjini,si unajua Trump ndo hit name saa hii

Ila trump ina maana zaidi ya kuwa jina la mtu. Sasa sijui huyo rafiki yako amechukua maana ipi? Ila ile maana ambayo sio jina la mtu naona ndio ingefaa zaidi kama hii ina maana ya jina la mtu (angalia kwenye kamusi ya kiingereza) na nembo (brand name) kubaki hivyo hivyo.
 
Ila trump ina maana zaidi ya kuwa jina la mtu. Sasa sijui huyo rafiki yako amechukua maana ipi? Ila ile maana ambayo sio jina la mtu naona ndio ingefaa zaidi kama hii ina maana ya jina la mtu (angalia kwenye kamusi ya kiingereza) na nembo (brand name) kubaki hivyo hivyo.
Sisi tumechukua ya jina la mtu...
Kama Trump alivyo strong anakomaa,na shishi ni hivyo hivyo
 
Maisha kwa sasa ni magumu mno kwa Malaya, Wasanii na Wafanyakazi.
Baada ya Shishi Kuvua sana Nguo majukwaani kuipamba CCM mwaka jana, lakini mwisho wa siku hajapewa hata ukatibu kata, Sasa ameamua kuwa mama Lishe.

Hongera!
 
Siku hizi hakuna tena shoo na wala hakuna wadhamini wa shoo. Ni njaa tupu. Kama wasanii wa Fiesta waliishia kulipwa Elfu hamsini hamsini, hapo lazima msanii ujiongeze kivingine.

Fiesta imekwisha, sasa ni mwendo wa kupika tu.
 
Back
Top Bottom