Naombeni msaada vijana wenzanguZa saahiz vijana wenzangu,
Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza unafanyeje.
Hebu jaribu hii link Services | UTARATIBU WA WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI (SMEs) KUWEZESHWA KUPATA ALAMA YA UBORA YA ‘tbs’ — Tanzania Bureau of Standards (TBS)Za saahiz vijana wenzangu,
Polen na majukumu ya kujenga taifa. Samahan naomba tafadhali mwenye kujua utaratibu mzima wa kupata nembo ya shirika la Viwango (tbs) kwenye bidhaa unayoitengeneza unafanyeje.
Nashukuru sana sana.. Ngoja nisome.