Shirika la Vijana Taifa

Shirika la Vijana Taifa

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Habari Tanzania !.

Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee.

Hili Shirika lingefaa zaidi kuwaweka Vijana kwenye makundi 3:

1. Wenye Elimu au Ujuzi wa Sayansi
2. Wenye Elimu au Ujuzi wa Biashara
3. Wenye Elimu au Ujuzi wa sanaa

Tunaweka wakae pamoja. Lengo napenda kuona Taifa lenye nguvu nyanja zote kiuchumi, kisiasa, kisheria, kimazingira na kiteknolojia. Tusizidiwe na dunia kivyovyote vile. Kila kijana alazimike kuonyesha uwezo wake kwa namna moja au nyingine kuifanyia kazi nchi.

Akifikisha miaka 46, tunamuondoa awe mnufaika sasa wa matunda aliyoyatengeneza yeye na wengine.

Dunia ya leo inahitaji mipango sana na hekima ya hali ya juu.

Karibuni
 
Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee.
UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.

Huo Ushirika bado utawanufaisha wezi na wala rushwa wachache.

Vijana mjifunze KUJITEGEMEA, achaneni na mawazo ya makundi makundi.

Be a Man, Kijana chagua Ujuzi(Skill) wowote kisha jifunze then ingia kwenye race za kutafuta Maisha.
 
Mjomba kama hakuna chochote kitu 💰, hatuji, mkono mtupu haulambwi.
Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa !.
Mbona hapo mtaani kwenu mweweka ushirika usio rasmi; na ilivyo vizuri mnafurahia huo umoja wenu kwa matunda. Kwanini hutaki muwe wamoja tena kama zamani !?.
 
UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.

Huo Ushirika bado utawanufaisha wezi na wala rushwa wachache.

Vijana mjifunze KUJITEGEMEA, achaneni na mawazo ya makundi makundi.

Be a Man, Kijana chagua Ujuzi(Skill) wowote kisha jifunze then ingia kwenye race za kutafuta Maisha.
Vita na Ugonjwa ndio huwa njia pekee ya kuelimisha mtu au watu maana ya maisha ni nini.
 
Haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa !.
Mbona hapo mtaani kwenu mweweka ushirika usio rasmi; na ilivyo vizuri mnafurahia huo umoja wenu kwa matunda. Kwanini hutaki muwe wamoja tena kama zamani !?.
Umoja upi mkuu?
 
UJAMAA hauwezi kufanya kazi zama hizi za wezi na wala rushwa wasiojali lolote kuhusu wengine.

Huo Ushirika bado utawanufaisha wezi na wala rushwa wachache.

Vijana mjifunze KUJITEGEMEA, achaneni na mawazo ya makundi makundi.

Be a Man, Kijana chagua Ujuzi(Skill) wowote kisha jifunze then ingia kwenye race za kutafuta Maisha.
Kitu km hiki nimetoka kusema sehemu hivi, dunia ya sasa unahitaji juhudi, maarifa na ari binafsi ya kupambania kile kihitajicho, sio zama za ujamaa kabisaa.
 
Back
Top Bottom