Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
Utendaji wa shirika la reli nchini hususani treni za kutoka na kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora na Kigoma limekua linakatisha tamaa kutokana na huduma zake za kubabaisha treni halina muda maalumu wa kutoka pia hakuna muda maalum wa kusimama vituo vikubwa ,lugha ya uongo kutoka kwa waongozaji wa treni hali inayopelekea abiria wengi kufikiria kukacha kabisa usafiri huo na kugeukia magari Mabasi,vituo vikubwa vya kusimama saa moja treni husimama masaa manne na, pia huduma na uchakavu wa miundombinu ya treni hizo.