Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Najiuliza sijui ikijazingua huko juu watashuka kuisukuma
 
Hao ulio wataja unaweza kuwalinganisha na makasuku wenu kina kibajaj?

In God we Trust

Wewe binafsi unajilinganishaje na hao akina Tundu Lissu na huyo anayeitwa Zito Kabwe!!??
 
Naona mnakesha kuliombea shirika life na sio kuendelea.

Mashirika mangapi yamekufa na mangapi yapo hai na kutengeza faida?
 
Mnachoombea kitokee kwa ATCL kamwe hakitakuja kutokea enyi msioipendea mema nchi hii kwa maslahi yenu ya kisiasa. Mlianza kuziponda bombadier ndege mbovu sijui terrible teens, baada ya kuona ma Boeing yanazidi kushuka sasa mnaombea shirika life. Nakuambieni mtakufanya nyinyi kisiasa pamoja na vyama vyenu, lakini shirika hili litaendelea kuwepo na kushamiri maana ni mpango wa mungu kwa watanzania.
 
Kwenye hii nchi ukishakuwa mpinzani kuna waya zinakatika kichwani.
Sasa kwa taarifa yenu hata mfanyeje ndege zitaendelea kuwepo na zitazidi kununuliwa kama vipi hameni nchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana na Mabeberu haoo...! Nchi haina shida kabisa... Kila kitu safiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya uchumi wa Ndege na ujenzi wa Viwanja vya ndege vya kimataifa Chato.
 
Huku Mitaani maduka mengi yanafirisika lakini bado watu wanafungua maduka tena! Sasa ukisema mwenzangu kafirisika basi namimi nisifanye najaribu kujiuliza ni biashara gani ingesimama? si kusingekuwa na biashara kabisa..! maana kila sekta ya biashara inafirisika na bado watu wanaanzisha ata za migahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…