Shirika la Ndege, FlyBMI lafirisika!

Labda watakuwa wamesha nunulia self starter na betri

In God we Trust
Tatizo abiria wamelikimbia shirika hebu fikiria unepiga Suti yako unaishia kushika Body...Oyaa!!...usijifanye afsaa!! Sukuma...Pilot anakufokea.
 
Akili zao wanajuana wao kwa wao.
 
Chadema imeingiaje hapa?!
Mada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu!

Na kuonesha upumbavu wake zaidi ni hapo anapotaka kumaanisha kwamba kwakuwa ndoa ya jiranibyake imevunjika basi na yeye ya kwake itavunijka na pengine watu wasioe au kuolewa kabisa, kwa sababu kuna ndoa imevunjika huko!

Mods mnakazi sana kuwavumilia wapumbavu kama hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi sisukumi kamwe
Tatizo abiria wamelikimbia shirika hebu fikiria unepiga Suti yako unaishia kushika Body...Oyaa!!...usijifanye afsaa!! Sukuma...Pilot anakufokea.

In God we Trust
 
Shukeni tukasukume pangaboi
In God we Trust
 
View attachment 1027133

Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.

Tundu Lissu,Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya sasa!!

Kwa hiyo huyo Tundu Lissu na huyo anayeitwa Zitto Kabwe ndio pekee Tanzania wanaojua mema na mabaya ndani ya jamii?? What a shame!!!???
 
Ngoja na wewe siku uambiwe Oyaa!!!...Sukuma mchuma huo..ndio utanielewa
 
Atakubali haraka haraka lkn kwa sharti la kutokupigwa picha ili kuficha aibu ya chama
Ngoja na wewe siku uambiwe Oyaa!!!...Sukuma mchuma huo..ndio utanielewa

In God we Trust
 
Kwenu nyinyi hoja mzuri ni kupongeza pongeza tu?

In God we Trust
Na nyinyi hoja yenu nzuri ni kupinga pinga tuu kisa mbowe na lissu hawapendi kuona yale waliyotangaza jukwaani kufanya wao anafanya mwingine. Na kwakuwa rimoti wanayo wao basi kila mtu anabonyezewa kitufe chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…