Shirika la habari BBC linapromoti ushoga

Shirika la habari BBC linapromoti ushoga

hii imekuwa si kificho tena nimefuatili sana habari zao hizi hawa jamaa wamekuwa chanzo cha kuwa attention watu kuhusu habari za ushoga
kwanini jamani?
Mkuu, achana nao. Zowea kusikiliza/angalia vituo vya maana kama Deutsche Welle na Aljazeera huko utaelimika na kusuuzika roho yako.
 
Personally huwa nawashangaa sana watu..how comes mtu afanye vitu vyake halafu mtu mwingine ukereke? Ni upuuzi kufatilia maisha binafsi ya mtu whether awe gay/ lesbian we inakuuma nini, watu bhana

pata toto la kiume halafu liwe shoga ndo utaona watu wanalalamika nini. tena vizuri zaidi awe mtoto pekee
 
Hilo si la kushangaa uingereza ni miongon mwa nchi za mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja na kama haitosh yapo makanisa ya catholic yanafungsha ndoa hzo paspo na shaka yyote..hao ndo waingereza bhana Sir ni cheo kikubwa sna uingereza lakn Elton john anaitwa "sir" japokuwa ameolewa na m.me mwenzake

Hivi umeishiwa ya maneno ya kucomment hadi utaje kanisa katoliki?
 
acha mambo zako wewe, BBC ni international media house hawapo biased au prejudicial na lifestyle ya mtu yoyote wenyewe wanarusha news kama zilivyo and nothing else

Kumbe bado upo gizani.
 
[h=1]Warumi 1 : 26-28[/h]1.26 Kwa hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile.
1.27 Nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wanafanyiana mamboya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendovyao viovu.
1.28 Kwa vile watu walikataa kumtambua Mungu, Mungu amewaacha katika fikira zao potovu, wakafanya yale ambayo hawangestahili kufanya.
 
Fuknghell cmf aka chip mother---- kwa msengee yeyoteee anayesapotii ushogaaaa ni ungese na na mngeseee saaaana
 
Back
Top Bottom