Siyo siri, Cameron mwenyewe ni shoga toka miaka yake ya college.acha mambo zako wewe, BBC ni international media house hawapo biased au prejudicial na lifestyle ya mtu yoyote wenyewe wanarusha news kama zilivyo and nothing else
kanisa catholic linawawasha eee,hamuishi kulitajataja kijinga,hovyooooo!Hilo si la kushangaa uingereza ni miongon mwa nchi za mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja na kama haitosh yapo makanisa ya catholic yanafungsha ndoa hzo paspo na shaka yyote..hao ndo waingereza bhana Sir ni cheo kikubwa sna uingereza lakn Elton john anaitwa "sir" japokuwa ameolewa na m.me mwenzake
Hilo si la kushangaa uingereza ni miongon mwa nchi za mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja na kama haitosh yapo makanisa ya catholic yanafungsha ndoa hzo paspo na shaka yyote..hao ndo waingereza bhana Sir ni cheo kikubwa sna uingereza lakn Elton john anaitwa "sir" japokuwa ameolewa na m.me mwenzake
Siyo siri, Cameron mwenyewe ni shoga toka miaka yake ya college.
Tukubaliane kuwa tabia hizi za kish.enzi za waingereza zidharauliwe na waafrika wote.
watangazaji wao wote mashoga pia
Unasemaje mtu ni shoga wakati hujamjaribu? huu ushoga mbona unawakera sana ikiwa wanafanya hawani effect yeyote kwenu.
hii imekuwa si kificho tena nimefuatili sana habari zao hizi hawa jamaa wamekuwa chanzo cha kuwa attention watu kuhusu habari za ushoga
kwanini jamani?
Personally huwa nawashangaa sana watu..how comes mtu afanye vitu vyake halafu mtu mwingine ukereke? Ni upuuzi kufatilia maisha binafsi ya mtu whether awe gay/ lesbian we inakuuma nini, watu bhana
trust me wanaume wengi sana either wanafi.ra au kufirw.a kwa sasa...marital status doesnt apply here
trust me wanaume wengi sana either wanafi.ra au kufirw.a kwa sasa...marital status doesnt apply here