Shirika la Afya Duniani ( WHO ) latoa Onyo

Shirika la Afya Duniani ( WHO ) latoa Onyo

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Madaktari na wataalam wa afya wanashauri kulala bila nguo za ndani wakati wa usiku ili kuwezesha viungo vya uzazi kupata hewa ya kutosha ili kuepuka maambukizi ya fangasi na kutoa harufu mbaya
katika sehemu za siri.

Kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala usababisha kubana sehemu za siri na joto kupita kiasi ambayo usababisha unyevu na kuvutia ukuaji wa fangasi na bakteria kwa jinsia zote huku pia zikisababisha upungufu wa mbegu za kiume na harufu mbaya.

Tambua kuwa joto la mwili ushuka kiasi unapolala na kukuwezesha kupata usingizi mzuri wakati wa usiku hivyo kulala na nguo za ndani au nguo zozote zinazobana ni kinyume chake na huongeza mikunjo kweneye ngozi na kupunguza uzuri wa ngozi.

Ikumbukwe kuwa hii haiwausishi wanawake au wanaume wenye matatizo maalumu yanayowapaswa kuvaa nguo za ndani usiku kama hedhi kwa wanawake na matatizo ya uzazi.

Hivyo ni muhimu kulala bila nguo za ndani au nguo zinazobana mwili wako ili kuepuka madhara haya.

Source: WHO
 
Yeah lala na boxer shorts kwa mwanaume unajirindika li track suit na boxer shorts ndani khee kama kuna marathon za ndotoni
 
Heeee ulikua hujui...sasa kwanini ujibane bane...I normally do that..km hulali na wadogo zako bali peke yako jiachie

Dah sasa me nalala na washkaji kutwa tunalala na vijinzi duh si msala huuu
 
Hivi nani analala na nguo za ndani,labda kipindi cha popobawa .
Watu wanalala na gaguro tu.
Waambieni hao madada wenye kuvaa suruali za kubana,maana kama unamuona wakati akivua na ukaingia chumnani lazima ukipimbie kwa uvundo.
Wamasai oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unajua leo. Tulishacha zamani kulala nguo mimi hulala mtupu kabisa
 
Walitegemea sisi wenye ndoa tulale na nguo ?
Hii kitu hata Joshua Nasari alisha acha baada ya kupata jiko.
 
Hivi nani analala na nguo za ndani,labda kipindi cha popobawa .
Watu wanalala na gaguro tu.
Waambieni hao madada wenye kuvaa suruali za kubana,maana kama unamuona wakati akivua na ukaingia chumnani lazima ukipimbie kwa uvundo.
Wamasai oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Haswaaa..kigagulo au kishumiz km kuna baridi km kuna joto ht hivyo huweka kando ama kweli mbu wanaona mengi japo wako nje ya neti
 
Yeah lala na boxer shorts kwa mwanaume unajirindika li track suit na boxer shorts ndani khee kama kuna marathon za ndotoni

Boxer sio nguo? Lala uchi kwa afya yako!!
 
Ukilala bila boxer UUME WAKO I mean mboo yako itakuwa kubwa sana na wakina dada watakukimbia. Sasa sijui wakina dada watapenda dushelele kubwa!!!!
 
ulale uchi kabisa yani ndo patoke mabomu milipuko au majambazi ya vamie mkurupushwe. mtu mzima huyo uchi uchi kunaposti nilisha ona umu sister du moja ivi alikua ana lalamika ushauri yeye kazoea kulala naked. uchi kilasiku. jf kilakitu kinasapotiwa kivyake.
 
Back
Top Bottom