Elections 2010 Shirati (Rorya) Wanakijiji wanamsubiri Dr Slaa kwa hamu

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
'' Vi 'Inzi" Vilivyotangulia mitaa ya obwere ka bwana Shirati Rorya Ngome ya Mwasisi wa Mageuzi Nchini Hon Learned Mabere Nyaucho Marando (Juock Ping) vinadokeza kuwa Wananchi wa Shirati wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr Slaa atakapopita huko muda sio mrefu na ujummbe wa mabadiliko ya Taifa

Tayari amefika kijiji cha Komuge kila anapopita apatoshi wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuamsha hasira ''yaho''

Dr ,Comrade ,Mpiganaji na kamanda wa anga karibu shirati
 
Huko ni cha mtoto mambo iko huku Mbeya watu walivyo na hamu they can't wait we acha tu.
 
jamani nadhani kuwa mnafahu tanzania nzima inasubiri hawa jamaa wafike kwenye maeneo yao, tofauti na wagombea wa CCM ambao hulazimisha watu wawasikilize kwa kuwapa t. shirt, kanga na kofia pamoja na kuwaandalia usafiri wa kutoka na kurudi makwao.
Wananchi wengi wanaohudhuria mikutano ya kampeni ya CCM huwa hawaendi kwa mapenzi ya kwa chama ama wagombea. hilo lipo wazi kabisa.
 
Tunaomba waliopo kwenye msafara watutumie picha na habari haraka iwezekananvyo ili tuzisambaze.
 
nasikia hata mkuranga nako wanamsubiri kwa hamu sana dk slaa wamuulize maswala

yaya
user-online.png
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateMon Oct 2009Posts258 Thanks : 0
Thanked 17 Times in 11 Posts
Rep Power21
 
Jamani mkono mtupu haulambwi.
mnaonaje Tukamuajiri m2 katika msafara wa Slaa kwaajili ya Kutuletea mapicha?
ni wazo tu.
 
'' Vi 'Inzi" Vilivyotangulia mitaa ya obwere ka bwana Shirati Rorya Ngome ya Mwasisi wa Mageuzi Nchini Hon Learned Mabere Nyaucho Marando (Juock Ping) vinadokeza kuwa Wananchi wa Shirati wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr Slaa atakapopita huko muda sio mrefu na ujummbe wa mabadiliko ya Taifa

Tayari amefika kijiji cha Komuge kila anapopita apatoshi wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuamsha hasira ''yaho''

Dr ,Comrade ,Mpiganaji na kamanda wa anga karibu shirati
hapo mbona ndo mageuzi yalipoanza...huko kwetu watu hawadanganyiki,Nyerere mwenyewe nusura akione cha mtema kuni mwaka 1995 alipotaka kukosea kidogo...watu wa Kabwana wanajua hili lilitokea nini.Mwaka 2000 kampeni yote ilihamia Rorya ya kumuondoa Marando,kila mtu mwenye jina CCM alifika Rorya.Na uwizi wa kura wakashinda.
Ila safari hii patakuwa hapatoshi,Lameck atauza hadi Lackairo yake manake atanunua sana..ila mwisho wa siku watu wa Rorya watasema kwenye kura.Walianzisha mabadiliko kwa kupeleka mbunge wa upinzani bungeni mwaka 1995.Hawatashindwa sasa kama Chadema wataweka mtu mwenye sera.
 
Ni nani mgombea kwa tiketi ya chadema?
 
ha ha ha wewe Ogwalu bana, tayari mnamuita Hon au hilo ni jina lake?

BTW - Hiyo Juock Ping ya marando nimeipenda sana ingawa sijui maana yake (ina sound vizuri sana)

mi mwenyewe nimechaka sana hapa
yaani nimependa kinyama juock ping hahahahah
 
'' Vi 'Inzi" Vilivyotangulia mitaa ya obwere ka bwana Shirati Rorya Ngome ya Mwasisi wa Mageuzi Nchini Hon Learned Mabere Nyaucho Marando (Juock Ping) vinadokeza kuwa Wananchi wa Shirati wanasubiri kwa hamu kumsikia Dr Slaa atakapopita huko muda sio mrefu na ujummbe wa mabadiliko ya Taifa

Tayari amefika kijiji cha Komuge kila anapopita apatoshi wanakijiji wanasubiri kwa hamu kuamsha hasira ''yaho''

Dr ,Comrade ,Mpiganaji na kamanda wa anga karibu shirati

Kamarade, Kamanda wa Ukweli, Dokta (Siyo Dakta).

Pasua Anga!!!

Tanzania Bila Wahindi Inawezekana!!!

Halafu jamani wanaJF, inakuwaje kuhusu ishu ya masanduku ya kura kuwa transparent??

Nilitizama uchaguzi wa Ufaransa mwaka 2007 Sarkozy na Mama Royal walikuwa wakitumbukiza kura kwenye masanduku mpaka mimi niliyekuwa kwetu Bonyokwa nilikuwa ninaona mpaka ndani.

Kwanini Bwana Kipara (Tendwa) asibanwe alete sanduku transparent ili kuwadhibiti Wahindi wasiibe kura???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom