Watu amepata tatizo kwa mikutano inayofanyika Shinyanga hasa kama ni CDM wanafanya mikutano hiyo ni tofauti na mikutano ya CCM ama serikali yake.Mkutano wa CDM hata ukihutubiwa na kaimu mwenyekiti wa CDM mkoa,hujaza watu wengi sana tofauti na mkutano wa leo,pia kwenye mkutano wa CDM watu huja wenyewe bila kusombwa na magari lakini wa CCM huletwa na malori