Tabora hali ya hewa safi, tatizo ni Uswahili mwiiingi na Uchawi, pia mauaji ni kitu cha kawaida hasa kwa maeneo ya pembeni, mzunguko wa pessa kawaida sana.
Shinyanga pakame mnooo, ushamba mwiiiingi na biashara hazitoki pia na kama zinatoka Wanaukabira
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.
Ushuhuda wangu mimi naona Tabora bora kuliko kwa wasukuma Shinyanga. Sema tatizo la Tabora ardhi kame sana. Wanyamwezj wajanja na wamechangamka. Ila watani zao wasukuma wanazingua. Mfano mzuri si wenye lugha nzuri ya biashara aisee. Ila all in all penye ugumu ndiyo pakutoboa.
Vichaa wengi Tabora si hasa kutokana na ulozi, bali uvutaji wa bangi. Bangi hulimwa aghalab katikati ya zao la tumbaKu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha shinyanga na tabora,,,ukiachilia mbali shy mjini,,kwa kahama tu hafui dafu tabora yako sembuse shy mjin!
Tabora mzunguko wa pesa ni mdogo,,watu wake hawana pesa, hutangatanga miji mingine kutafuta maisha,, bora hata ya singida pamechangamka alakini co unyamwezn
Niriwahi kutembelea shinyanga nikajionea, kwakweri uwezi fananisha na tabora japo muzunguko wake co mkubwa saana.
Shinyanga
Alimasi
Zahabu
Taa za barabarani
Rami kila kona
Viwanda vya pamba
Kiwanda cha juice, soda na maji
Kwanda cha pastik
Kiwanda cha gesi/Mihan
Kiwanda cha nyuzi
Hospitali ya mkoa na rufaa imejengwa virevire
Mashule, madispensary kibao jombaa.
Tabora,
Mkaa
Asali
Maembe
Maneno maneno sanaa,, fitina,,kwendeana kwa waganga kwa waco na imani.
Tabora kuzuri, shida ya Tabora ni mzunguko wa pesa kama walivyosema wadau
Mgogoro wa serikali na makampuni ya tumbaku umewaathiri sana wakazi wa tabora
swala la ukame ni kwa baadhi ya wilaya kama igunga na nzega na hili limechangiwa na jirani zetu wasukuma, hawa jamaa ni wavamizi wa maeneo na wakiingia sehemu wanahakikisha wamemaliza miti yote halafu wanahama kwenda kuharibu kwingine
Nafikili Agrey Mwanri atawadhibiti.
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabora haiwezi kuifikia kahama mkuu.
Ndo maana sikutaka kuizungumzia japo iko ndani ya shinyanga.
Maana kwa Tanzania nzima ni mikoa michache sana inayoweza kuifikia kahama kwa mzunguko wa pesa. Huduma zote za kijamii kumbuka kuwa kahama ndo wilaya pekee yenye matawi ya bank zote kubwa hapa Tz pamoja na mabasi ya kwenda kila mkoa na nchi jirani pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushuhuda wangu mimi naona Tabora bora kuliko kwa wasukuma Shinyanga. Sema tatizo la Tabora ardhi kame sana. Wanyamwezj wajanja na wamechangamka. Ila watani zao wasukuma wanazingua. Mfano mzuri si wenye lugha nzuri ya biashara aisee. Ila all in all penye ugumu ndiyo pakutoboa.
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.
Wewe muongo na nimnafik
Sasa ukisema barabara shinyanga nzuri Tabora wasemeje eti taa za barabarani unashangaa hilo je ungefika Tabora uone mpaka taa za kuongozea magari.
Tatizo ushamba mwingi sana hapo shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi mkuu? Hebu dadavua nikupate.
Kinondoni ingekuwa Nje ya dar ingepumua?
Ticha mkurrya!!! Ma RRrr kama yote🐛✅Taa ya kuongozea magari hata kahama ipo wala co ajabu,,,Shinyanga wamewekewa rami sio chin ya 50 kilometres i think,, taa za barabara mpya na bado wanaenderea kuweka, tabora je?
Hebu nitajie viwanda vitatu tu mlivyonavyo huko ubangini?? Shinyanga nirienda napajua na tabora nirishawai kwenda.
Post ya juu naongeza na kiwanda cha bati kirichoko kahama,,,tabora je mnacho??
Nitajie viwanda vitatu jomba!
Nimezunguka bar maarufu shinyanga zote hakuna kitu, nimeamua kuja Level One pia pamepoaaa hatari, tupo wateja watatu.! Acheni Dar ibaki kuwa Dar kwa japo watu wa mikoani mnaiponda ila Dar ni kila kitu.! Pale Gwanzuu Tegeta ukienda hata siku za kawaida lazima uta-enjoy, sasa hapa duun hata wahudumu ndo hvyo tena. Anyway nitapita Tabora pia kupaangalia.
Comment yako nzuri kwa matumizi ya baadae na inafaa kwa ajili ya ku-screen shot kwa kumbukumbu ya baadae, upiga mulemule maana vijana wengine huangalia madhari ya mji au huduma zitakazoweza kuwafanya wake eneo hilo comfortably pasipokuangalia changamoto zilizopo na kuzitafutia mradi.Umasikini bana ni shida sana nenda sa hivi Shy kamwambie Jambo,Fresho,Gaki etc hio Shy ni mbaya sijui haina mzunguko wa hela kama atakuelewa then ukitoka hapo nenda Tabora kaulize ma don wa Tabora kama mji huo ni mbaya kama watakuelewa.
Cha msingi we jiangalie wapi mishe zako zitafanikishwa then zama mazima.
Mtu atakwambia mji fulani hauna Shopping malls,sijui mahotel yenye swimming pools,hauna maghorofa yenye lift then wewe binafsi jiulize hivyo vitu vilivyotajwa vinakusaidia nini binafsi?
Je uwepo au kutokuwepo kwake kuna athari zozote na mishe zako
Fanya maamuzi chap.
Vichaa na vijicho, hicho kizazi kilishapita.Tabora kuna vichaa wengi sana,inaashiria ulozi ni asilimia kubwa,vijicho,kufatiliana yani full uswahili,
Sent using Jamii Forums mobile app