SHINYALU, KENYA: Mwana amuuwa baba yake na kuwajeruhi wengine sita

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Mtu mmoja anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Shinyalu, kaunti ya Kakamega. Raphael Amboso mwenye umri wa miaka arobaini aliivamia familia yake kwa upanga jana jioni na kumuua babake kabla ya kujeruhi watu wengine sita.

 
Back
Top Bottom