Mie mbona najulikana naishi Kiding'a na ni mkulima wa Kabichi!
Cc: sweetlady
Ni swali zuri la kuanzia, tena huyu haeleweki kama ni babu kweli au ni u-yahaya
CC MziziMkavu, Mtambuzi
Babu kwani wewe unaishi wapi?
Unajua Lucas, tupo katika stage ya kwanza ya kupendekeza majina, hata wewe ni ruksa kupendekeza kwa vigezo, lile swali lako kwa @Aspirin ni muhimu, kama hana majibu, ruksa kumwingiza kwenye list, Nitakuwa nai-update hii list kadiri mtakavyokuwa mnapendekeza
Mi naishi Boko Basihaya jirani kabisa na Fesibuku pub. Karibu sana kaunta ya juu leo ijumaa kuanzia saa 4 asubuhi
Nadhani simo kwenye list. Hakuna babu kikongwe mwenye sifa za Yahaya. Njoo shambani kwangu Mabwepande tuvune matango.
Mchango wako Mtani, list imeongezeka, sasa wameingia Simplicity, Heaven on earth na Arushaone, kura yako muhimu
Yahaya wangu ni Heaven on earth. Au shurti awe mwanaume??