BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Mar 20, 2012 #1 GTs mnaliongeleaje hili? binafsi nimeona ni ubunifu mzuri haswa kwa upande wa kuboresha mazingira ya mambo yetu ya nyama choma na ndovu baridii!
GTs mnaliongeleaje hili? binafsi nimeona ni ubunifu mzuri haswa kwa upande wa kuboresha mazingira ya mambo yetu ya nyama choma na ndovu baridii!
TaiJike JF-Expert Member Dec 14, 2011 1,483 667 Mar 20, 2012 #2 Litafanyika lini na wapi, nije vifaa kamili? kifupi limetulia.
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 Mar 20, 2012 #3 Huwa lipo na safari lager ndo waandaaji au unataka kuaandaa wewe?
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Mar 20, 2012 Thread starter #4 Kabakabana said: Huwa lipo na safari lager ndo waandaaji au unataka kuaandaa wewe? Click to expand... hapana Kabby,naongelea hilo hilo la safari lager... okey changia mada sasa!
Kabakabana said: Huwa lipo na safari lager ndo waandaaji au unataka kuaandaa wewe? Click to expand... hapana Kabby,naongelea hilo hilo la safari lager... okey changia mada sasa!
BAGAH JF-Expert Member Jan 17, 2012 4,523 1,060 Mar 20, 2012 Thread starter #5 TaiJike said: Litafanyika lini na wapi, nije vifaa kamili? kifupi limetulia. Click to expand... lipo na linaendelea ndugu!..linaandaliwa na safari lager!
TaiJike said: Litafanyika lini na wapi, nije vifaa kamili? kifupi limetulia. Click to expand... lipo na linaendelea ndugu!..linaandaliwa na safari lager!
Mkeshahoi JF-Expert Member Jan 4, 2009 2,469 281 Mar 20, 2012 #7 na vipi tamasha la Jumamosi...linoga?