BORNCV
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 242
- 46
mimi nijaelewa kwa nini hawa kilimanjaro wameamua kuwapambanisha simba na yanga kupitia washabiki ilihali wakujua kuna washabiki kati ya timu hizi mbili hawanyi pombe? sijaelewa maana yake wangekuwa wanapromote bia yao kama bia bila kuwashindanisha ok la hivi sio sawa na hatapatikana mshindi kwa uhalali.
kwa mtazamo wangu inaonyesha mashabiki wa yanga ni wanywa pombe kuliko mashabiki wa simba.
nashukuru
kwa mtazamo wangu inaonyesha mashabiki wa yanga ni wanywa pombe kuliko mashabiki wa simba.
nashukuru