Shindano la kujamba

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Lilihusisha watu watatu MWAFRIKA, MZUNGU na MUHINDI. Akaanza kujamba mwafrika amewekewa mic duh mpaka tilles zikapasuka watu wakashangilia sana ikaja zamu ya mzungu alijamba mpaka vioo vya magari vikapasuka zamu ikawa ya muhindi akajamba kaushuzi kadogo wacha watu wamzomee. pembeni yanapofanyika hayo mashindano kuna kanisa akatoka padri akasema huyo alojamba mwisho(mhindi) ndo mshindi watu waka:lol:zomea akawaambia njooni muone watu kuingia kanisani wakaona yesu katoa mikono msalabani kaziba pua
 
Mmmh! Ndo hang over zinavyoanzaga za weekend hivi!!

[h=6]Mama akimwambia mwanae,
Mwanangu! Baba yako cjui dhehebu gani? Maana
mbele yumo,
nyuma yumo! Nashindwa kumuelewa kabisa
Mtoto akamjibu
Labda ni mfuasi wa dhehebu la David Cameroun!
[/h]
 
Hii kweli kali

[h=6]Jamaa alienda duka la nguo kununua zawadi kwa ajili ya Birthday ya mchumba wake...

Baada ya kuchagua sana akaona ni bora amnunulie pair ya GLOVES za kuvaa mkononi kama za maharusi kwa sababu ndicho kitu alichopendelea sana lakini mchumba wake hakuwa nazo...

Kwa kucndikizwa na dada wa mchumba wake (shemeji yake) waliokutana town wakaenda mpaka duka la nguo na kumnunulia mpenzi wake hizo Gloves. D...ada mtu naye aliona si mbaya akajinunulia nguo za ndani mbili (bikini)...

Wakati wa kufunga, muuza duka akamix vitu na kumfungia dada mtu zile Gloves na yule mchumba wake akawekewa zili bikini 2. Bila ya kuangalia jamaa akaomba afungiwe kwenye box la zawadi na kuomba muuzaji amuwekee na ki-note alichokiandika kilichosema....

"Kwako mahabuba wangu!!!

Nimekuchagulia zawadi hii kwa sababu huna tabia ya kupenda kuvaa kila tukitoka out...

Kama icngekuwa dada yako ningekuchagulia ndefu zaidi na pana lakini dadako anapenda kuvaa fupi za kamba kamba kama hizi ambazo ni rahisi kuvaa na kuvua...

Mimi sikutaka sana kuchagua aina hii lakini dada muuzaji hapa nilikonunua alinionyesha na yeye aina hiyo hiyo kuwa ndiyo anayopenda kuvaa. Nilimpa ajaribu zako kwa ajili yangu nione, na kwa kweli alipendeza sana.

Natamani ningekuwepo nikuvalishe tena mbele ya watu siku ya kuvishana pete ili usije vaa zibaya kwa sababu nilimuona alivyo vaa na kufunga kwa umakini na taratibu sana...

Ukivua hakikisha unazikung'uta kabla ya kuzivaa tena siku nyingine kwa sababu najua hutazifua mara kwa mara...

Nakuomba sana uvae jumamosi jioni tukionana japo huna tabia hiyo, ukishindwa njoo nitakuvalisha...."

From your love!!!
Byeeee.
[/h]
 
VW ilikutana na BMW kwenye mataa BMW akamuuliza VW shekh mbona macho yamekutoka hivyo(nadhani mnafahamu taa za VW zimejitokeza kwa mbele) VW akamjibu hebu na wewe wekewa engine matakoni uone kama macho hayatakutoka:lol:
 
Basi lilipata ajali, mchanga aliyekuwemo akakatika kidole cha mkono wa kulia, akaanza kulia uii jamani kidole changu sijui nitaandikaje cheki. piakulikuwa na masai watatu kwenye ile basi mmoja alikatika kichwa wenzake waliopona wakamwita. Molel? jamaa kimya wakaita kama mara tatu hivi jamaa kimya wakafuata mchaga analeyelia wakamchapa na fimbo af wakamwambia. nyamasa we nakatika kidole af nalia wakati Molel nakatika kichwa na yuko kimya.,
weekend njema.
 
Back
Top Bottom