Shindano la fifa 17 ps3 na ps4

Shindano la fifa 17 ps3 na ps4

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa nne asubuhi
Kiingilio kwa ps 3 ni 4,000 na mshindi atapewa 30,000
Kiingilio kwa ps 4 ni 7,000 na mshindi atapewa 50,000
Kwa mawasiliano 0763309632 au 0683614993
 

Attachments

  • FIFA.jpeg
    FIFA.jpeg
    85.6 KB · Views: 51
sijaelewa... japo ni biashara nzuri.. watu 32 kila mtu akilipa kiingilio hapo 7000 jumla una laki 2 na 24,000.. halafu ukatoa 50,000 ukampa mshindi unabaki na faida almost 180,000..

zawadi ni vizuri ukaweka kwa mshindi wa 1,2,na wa 3 kama world cup vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom