Kwa wateja wa vodacom ukitumiwa meseji hii ya promosheni usifanye chochote kwa kujibu maswali ukifikiri ni bure ukiweka pesa yako wanakata...hizi promosheni ni wizi mtupu usione neno bure ukaona bure kweli
KWANZA hii bendera umeweka ya yale mambwa ya NATO yanayojiita NTC..Haitakiwi hapa Tz itoe kabisa..we dont support traitors here who kills our fellow Africans in Libya...