BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
Kwa wateja wa vodacom ukitumiwa meseji hii ya promosheni usifanye chochote kwa kujibu maswali ukifikiri ni bure ukiweka pesa yako wanakata...hizi promosheni ni wizi mtupu usione neno bure ukaona bure kweli