Cardinalist
Member
- Feb 14, 2013
- 43
- 8
Ukiachana na siasa uchwara na propaganda, Shimbo ni mchapa kazi.
Ametumia uwezo wake na upeo akimsaidia Gen Mwamunyange kulibadilisha Jeshi.
Kazi alizofanya naamini wanajeshi watazikumbuka.
Hivi sasa wanajeshi wana hali nzuri.
Naamini ataiwakilisha vyema nchi yetu nchini China