ivanmark714
Senior Member
- Jul 13, 2019
- 108
- 191
Hivi,huwa mnajuaje kama ninyi si waandishi wazuri?Yaani mtu aliyelogwa anamjua hadi mchawi wake!Habari,
Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi.
Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla.
Utaijuaje ni fake? Ni nyepesi mno, inang'aa sana, ni kubwa kwa umbo ukilinganisha na pesa halali, zile tarakimu 500 hazibadiliki kwa ndani kuja neno B.O.T.
Hivyo serikali kupitia B.O.T na mamlaka zake nyengine waliangalie hili, na wananchi tuzidishe umakini katika hili.
NB: Naomba radhi kwa uwandishi mbovu lakini ujumbe umefika.
Uwandishi.... bila picha?Habari,

Hili nalo mkaliangalie..Habari,

Kuna watu na nusu.500 fake, hakuna mjinga wa kufanya huo upumbavu mzee.
Kama hujui jambo uliza. Kama huwezi pia kuuliza; usiseme chochote500 fake, hakuna mjinga wa kufanya huo upumbavu mzee.
Habari,
Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi.
Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla.
Utaijuaje ni fake? Ni nyepesi mno, inang'aa sana, ni kubwa kwa umbo ukilinganisha na pesa halali, zile tarakimu 500 hazibadiliki kwa ndani kuja neno B.O.T.
Hivyo serikali kupitia B.O.T na mamlaka zake nyengine waliangalie hili, na wananchi tuzidishe umakini katika hili.
NB: Naomba radhi kwa uwandishi mbovu lakini ujumbe umefika.
Acha watu wapate maisha. Mbona hauongelei jinsi tulivyosaini mktaba wa 69bilioni wa kununua software ya kufuatilia kukatika tu kwa umeme na bado ungeendelea kukatika Sana.Habari,
Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi...