msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,800
- 1,194
Nimeanza kwa kuwasalimia kwa sababu nadhani wote mna uwezo huu. Ilikuwa miezi kadhaa nyuma mke wangu alihisi kwamba nina uhusiano na binti mmoja hivi, lakini mbele yenu nasema ukweli sikuwa na uhusiano na yule binti hata kidogo ila kulikuwa na mawasiliano ya kikazi ambayo wakati mwingine ilikuwa tunaongea muda mrefu na mara nyingi hasa ninapokuwa nje au mbali na ofisi.
Mke wangu aliniluliza na kawaka sana lakini nilijaribu kumuelewesha. Sasa kilichonifanya niawasalimie ni kuwa hivi majuzi nimechukua simu nimpigie yule nimpe maelekzo ila nikaona meseji itakuwa sawa.
Nikatafuta jina la Magreth kwenye simu nikawa natuma meseji nikamwomba anifanyie kazi fulani meseji imeenda ndio macho yakanituma mbona hiyo namba iliyoandikwa Magreth ni ya mkeo ya laini ya airtel,inamaana mke wangu alifuta namba ya Magreth akaedit jina lake likawa na Magreth ila namba yake na hapo alikuwa anasubiri kuona kama nawasiliana nini na Magreth.
Sikutuma ile meseji na nimekaa kimya mwezi wa pili sasa na nimeacha kama alivyo save jina la Magreh kwenye namba yake!!!
Shikamooni wanawake mbinu zenu ziko juu ndio maana mnaweza kujua password za simu zetu bila hata kuambiwa

kwa kujua namba za mkeo kichwan.