ata utumie modem ya 7G, halotel tz bado ni 3G, ivyo basi data ita 'throttle' kwa speed ya 3G tuNatumia modern ya 4G huawei universal
kiukweli hutazidi 12 GB kwa ayo masa 6bila kikomo
*148*66# then special offer > night offer > no. 2Weka Menu yake
ata utumie modem ya 7G, halotel tz bado ni 3G, ivyo basi data ita 'throttle' kwa speed ya 3G tu
kiukweli hutazidi 12 GB kwa ayo masa 6
*148*66# then special offer > night offer > no. 2
Yeah mkuu ni fuluu kutelezaamkuu nimeicheck baadae tutamalizana nao
Hope mko poa hii of a sijui ipo kwangu tuu halotel kuna bundle wameniwekea kuanzia SAA 6 usiku
Unajiunga kifurushi cha 1000 unapiga halotel bila kikomo na wanakupa mb bila kikomo mpka SAA 12
Aisee unadownload mpaka unachoka
Napakua games,movie,software, music's, speed yako ni 2.9mbs
Natumia modern ya 4G huawei universal
Shikamoo halotel
Sent using Jamii Forums mobile app
wataichomoa kwenye menu soon maana kelele zimezidi yaani mnashindwa kula Kimya Kimya!!Mzee watatoa bure maana huo mzigo waliachia toka kipindi cha Ramadhan wanaita Ramadhan offer sasa mpaka leo hawajatoa ko ni mwendo wa kitonga tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wataichomoa kwenye menu soon maana kelele zimezidi yaani mnashindwa kula Kimya Kimya!!
Roughly unadownload GB 7 kwa hio speed. Unless unamaanisha 2.9MBps ambayo nayo pia ina ukakasi kuiamini.Piga mbs 2.9 kwa masaa 6 nakuambia Mimi natumia GB 35- mpaka 40 amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuu maana kwa kelele hizo soon wataiondoa dadeqwataichomoa kwenye menu soon maana kelele zimezidi yaani mnashindwa kula Kimya Kimya!!
Kwani hawataki wateja wengi?Umenena mkuu maana kwa kelele hizo soon wataiondoa dadeq