Fahamu namna ya kuangalia mechi ya league zote bila king'amuzi chochote

King Edward

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
230
376
Pamoja na kujichanga na kununua Tv yangu ya smart bado nilikuwa nateshwa na hawa wamiliki vingamuzi,

Dstv ndo natumia: huduma mbovu, bei kubwa, mara poor weather, mara error namba fulani( watumiaji wanajua), mafundi full kunipiga hela na ukiwapigia customer care nyodo utasema unaomba kumbe umelipia.

Kama week 2 zimepita niliwapigia simu wakapokea kabla hata sijaongea wakakata.

Katika ongea ongea na rafiki yangu akaniambia yy hata kulipia kaacha anatumia Burma TV. Akanielekeza, saa hz full burudan mechi league zote kifurushi cha 1000 (Mb za mtandao wowote maana inatumia internet) bila shida.

(Mm hutumia weekend bundles maana mechi nying ni weekend)

Nimescan local channels kwa antenna ya kawaida ikifika muda wa mechi naliunga.

Burma TV ni application ipo play store- download.

Kama una TV ya smart kuna feature ya casting with TV,

Unawasha wireless ya simu unaunganisha TV (TV wireless)

Baada ya hapo unachagua mechi kwenye hiyo app na ku-enable casting.

Unasogea kwenye kochi unakula burudani

Note: Simu unaweza kuendelea kutumia huku mechi ikiendelea kwenye TV.

تحميل تطبيق موبي كورة | مشاهدة مباريات اليوم مباشرة link ya kudownload Mobikora

Ukiingia chagua English pale chini then download the new version

Burma Tv


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwapigia promo hao BURMA.
Eti elfu 10,000 kwa mwaka uangalie mechi za ulaya?.
Niliwahi kujiunga baada ya huyo popoma kujipopona kuwa ni chanell ya bure, nilivyoona ananitaka msimbazi nikang' amua ni wale wale wa ile pesa tuma kwenye number hii

HAMNIPATI NG'OO

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh nan alikuomba hela mzee hzo setting zote unafanya mwenyewe sitaki hata buku yako, nimeshare idea maana imenisadia mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uboya mkuu BURMA TV ni app ya bure ipo playstore unaangalia mechi zote za ulaya buree unazotaka ww gharama ni bundle lako tuu,achana na apps za kibogo ambazo wanataka uwatumie Hela.
Endelea kuwapigia promo hao BURMA.
Eti elfu 10,000 kwa mwaka uangalie mechi za ulaya?.
Niliwahi kujiunga baada ya huyo popoma kujipopona kuwa ni chanell ya bure, nilivyoona ananitaka msimbazi nikang' amua ni wale wale wa ile pesa tuma kwenye number hii

HAMNIPATI NG'OO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uweke logo yake hapa mkuu. Maana nimeenda playstore naonana zipo nyingi hizo Burma Tv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mzee
Screenshot_20191215-215809.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom