Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,350
Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na anakaribishwa kwenye 5x6.
Wenyewe wanausemi kuwa hata urudi saa kumi alfajiri ulilala nyumbani.
Sasa saa kumi ile kale ka usingizi katamu ndiyo kanakuingia kabla hujaamka kujiandaa kwenda kibaruani.
Ndiyo anapoomba haki yake ya ndoa ili usihisi kuwa alikula huko anakotoka.