Shikamoo wachawi

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu,

Leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu nasema.

SHIKAMOO WACHAWI
 
Aseeeeeeee umefanya kiislamu

you know what i mean nasepa na sirudi maana faiza foxy akinikamata nafwaaaaaaa


shkamoo
 
wakuu leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu. nasema SHIKAMOO WACHAWI

Mpambe kaja na waganga 200 toka mataifa mbalimbali wameletwa Nchini na Membe kwa kutumia mapesa ya marehemu Gadafi kama wewe ni Ukawa watakuroga sana maana wameletwa maalum kwa ajili kuwaroga ukawa, Membe yupo busy kubuni kila mbinu za kuwadhoofisha ukawa 🔨
 
Wachawi wengi wameletwa na Membe ili waje kuwaroga Ukawa lakini Membe yeye angependa wamroge sana Lowasa adui yake mkubwa, akisikia Lowasa kaamka amekuta miguu ina matope atafurahi sana.
 
Wakuu,

Leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu nasema.

SHIKAMOO WACHAWI
marahaba kijana, sasa shikamoo peke yake haitoshi uanze kusali ili tusije tena
 
Mkuu usiogope wamekupenda hao maana kuna rafiki yangu anapikipiki aliota anaendeshaa pikipiki mkewe akamuamsha fasta baada ya kuamshwa akaenda kuangalia pikipiki machine inachemsha kitu cha motooo

Aisee shkamoo wachawii
 
una bahati hawakukufanya vibaya, wenzako wanawalaza nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…