Shikamoo pesa

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Pesa kweli wewe ni kila kitu kwangu, kweli pesa wewe ni kiboko, pesa umeniweka mbali na familia yangu miezi miwili sasa, pesa umenifanya leo nimeamka asubuhi saa kumi na nusu asubuhi kuelekea kukutafuta wewe, pesa umenigombanisha na ndugu zangu eti kisa wameniomba pesa nikawaambia kwa sasa cna, kweli pesa nakupigia salute, narudia tena pesa shkamoo, pesa umenifanya nibadili njia cause nadaiwa, kweli pesa shkamoo mzee pesa
 
He he he he.....shkamoo pesa....Nakwenda kulala ili niwahi kuamka kesho nikakusake pesa....
 
Hawa ndiyo walioshindwa masharti ya fliimaasoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…