Shikamoo Mwenye nyumba!!!

Mamndenyi
Hivi bado tuhahitaji kijana wa kutunza bustani? jamaa yangu Bujibuji amekwama hana ujanja inabidi mwezi huu tumkwamue; usikonde kamanda wangu ni pm tupeane utaratibu! Nilikwambia siku nyingi hukunisikia Bishanga yupo wapi leo?? ndio kwanza anapiga misele kunyatia vichangu mitaani!
 
Last edited by a moderator:

chama tatizo lako una gubu sana
 
Last edited by a moderator:

Afu una simu ya milioni...
 
Last edited by a moderator:
Duhh pole sana,yaani watu wanashindwa kukusaidia kwa sababu ya Paloma!Lakini nimeona mwaJ amekubali uhamie kwao,pengine Paloma keishapewa likizo.Na nakutaadharisha huyo mwitamaranya anatembea na sime Muraa,husijefika hapo alafu ukamfananisha mwaJ na Paloma!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
aisee................ Bujibuji jenga banda lako hata kama bado ni pagale hamia tuu utakuwa umejikomboa!

Kuna wapangaji nao ni pasua kichwa kama hapo Bujibuji anavyojielezea anamendea kila mtu! Utaacha kujambishwa?!?!
 
Last edited by a moderator:
umeiona nyumba yake?
Halafu huku kitaa ndio bonge la friimasoni letu

teh teh!!

natamani niwe nakaa maeneo hayo uliko pigia picha!!!

ntamfwaidi sana waifu wako!!
 
Bora umwambie maana kwa jinsi alivyo na akili nzito! Anaweza akajikuta MOI.
 
aisee................ Bujibuji jenga banda lako hata kama bado ni pagale hamia tuu utakuwa umejikomboa!

Kuna wapangaji nao ni pasua kichwa kama hapo Bujibuji anavyojielezea anamendea kila mtu! Utaacha kujambishwa?!?!
Natafuta hela mama, mimi kujenga sitaki, nataka ninunue Masaki au Oysterbay, namaanisha Masaki ya Kisarawe or Oysterbay ya Babati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…