Yeah, kuna wamama wanajitoa sana kwa familia zao, nawapa hongera,
ila mbona mna generalize kwa wanawake wote? wanawake wote hawapo hivi, wengine wanapanga foleni mabwana kazi hawataki, wamekaaa kuomba hela tu ,
kuna wanawake nawaheshimu sana wengine nawaona ovyo sana