Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,404
Kwa waafrika, kilimo ndiyo biashara kichaa na ngumu kuliko zote. Ila amka, futa vumbi, songa mbeleNilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Mkuu hamanishi mvua ingenyesha la hasha but kila unapoanza unatakiwa uanze na kidogo ukiweka hela yote ukija kuangukia pua basi anguko linakuwa kubwa sana na unakata tamaa.Kwamba ningeanza na pesa kidogo mvua ndio ingenyesha? Stupid.
Sahihi 100%Inaonesha ni mara ya kwanza kujihusisha na kilimo cha biashara tena large scale.
Mzee hukutakiwa kuinvest pesa yote hiyo.
Ungeanza kidogo kama sehemu ya kuchukua experience
But hela isingetosha mkuuNiliona nakumbuka lakini siku kufuatilia kama ulikuwa na MILION kumi ulitakiwa uchimbe kisima Chako na ununue pampu ya solar kipindi hiki Cha jua inafanya kazi vyema sana Kisha mipira ya kazaa ya kusambazA maji katika Eka 5 tu asee ungepiga mazao hiyo tulishaacha kipindi Cha nyuma huko jitahidi kishirikiana na watu
KufutanaNilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Kwani wewe unafanya shughuli gani. Naomba jibu ili niweze kukupa ushauri sahihi.Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Asante sana kiongozi. Kwakweli nimefarijika.Mkuu hamanishi mvua ingenyesha la hasha but kila unapoanza unatakiwa uanze na kidogo ukiweka hela yote ukija kuangukia pua basi anguko linakuwa kubwa sana na unakata tamaa.
mimi nilitumia si zaidi ya m4 lakini nilipata faida kubwa .Japo nikweli kilimo kinachangamoto lakini mimi huwezi nishawishi niache kulima hata siku moja.
Mwaka 2022 nilikodi heka mbili nikalima mahindi nilitumia si chini ya m2 lakini nilipata debe5 za mahindi mwenye shamba akaniambia mwaka unakujua nakupa bure ulime..... nikalima nikapata gunia 23 na kila gunia niliuza kuanzia 85k hadi 100k nikapata m2na 115k. mwaka jana sijalima maana nilisituka kwa sababu ya mvua.
MKUU UKIKATA TAMAA UNAJIKATIA TAMAA MWENYEWE WENZAKO WATASONGA MBELE KUTEREZA SIO KUANGUKA SIKU ZOTE!
SIMAMA SONGA MBELE
SOMANimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne
JF wasaalam 🙏 Kama unataka mali utaipata shambani. Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki. Mimi nami ni kijana mwenye miaka 30+ hivi hiki nachokisema ni kweli na nimekifanya mwenyewe. Uzi utakuwa mrefu kidogo vumilia...www.jamiiforums.com
Yap ni mara ya kwanza. Ila ni baada ya kujiridhisha pakubwa kua hichi ninachokiendea kitanilipa. Kwa hiyo sikukurupuka kama wengine wanavyodhani.Inaonesha ni mara ya kwanza kujihusisha na kilimo cha biashara tena large scale.
Mzee hukutakiwa kuinvest pesa yote hiyo.
Ungeanza kidogo kama sehemu ya kuchukua experience
Ndo useme sasa unalima nini ili watu watoe ushauri, au unalima skanka ndugu?Asante kwa ushauri.
Ila ungeuliza kwanza nimelima nini. Afu haya sio matikiti ya kulimwa eka 5. Ili upate value for money unatakiwa ulime ekari nyingi ndugu. Huwezi weka system ya umwagiliaji kwa shamba la eka 30.
Anyway....tuseme madiliko ya hali ya hewa hayajua upande wako. Usikate tamaaYap ni mara ya kwanza. Ila ni baada ya kujiridhisha pakubwa kua hichi ninachokiendea kitanilipa. Kwa hiyo sikukurupuka kama wengine wanavyodhani.
Mkuu hivi ndivyo watu wanavyotajirika na hivi ndivyo watu wanavyofirisika.Huyo kapata hela kabla ya kupata akili ndio mana amefeli kiboya sana. Bora angetafuta odds zake 2 tu. Sasa iv angekua mbali sana
Pump ya kuvuta maji ya kumwagilia Eka Tano Haizid laki tatu ya Sola na kisima mfano Geita nilipo wanachimba kwa 300000 kinatosha kumwagilia Eka Tano mpaka 10 kwakuwa unamwagilia HAIZIDI masaa 6 kwa siku kina kuwa na matumizi hayo ni kawaida kabisaBut hela isingetosha mkuu
Pole sanaa nimependa ulivyokuwa muwazi, kwamba kwenye kilimo wewe ni mgeni! Kosa ulilolifanya ni ku-invest a huge amount of capital kwa trial project kulingana na uwezo wako. Maana mwengine hiyo 10M ni hela ya kawaida. Pole sanaa Mkuu, ni kweli kilimo kinalipa tena sanaa lakini inahitaji kuwa adaptive to the latest technologies ili kuweza kupata matokeo makubwa tarajiwa. Ni ukweli usiopingika kama unataka kufanya kilimo serious basi andaa miundombinu ya kilimo kwanza, mtafute mtaalam kwa hiyo amount ungeweza kufanya irrigation layout nzuri tuu na kuitumia kwa muda mrefu.Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Madhara ya kuamini motivation speakers.Ndio kuanza na kuanza na 10M?
Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa