Shikamoo Jua, unachoma mpaka pesa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Nimeona nilisalimie Jua Leo, maana sio kwa kuchoma huku...

Mliopo Bongo mnaona vile linawaka kama moto ule tunaousikia wa Jehanamu..

Jua unachoma kama moto, yaani tunaungua huku tunajiona.

Au ndio dhambi zimezidi unatuchoma tukiwa hai, shikamoo Jua.

Tupo ndani, AC, Feni zimewashwa huko ila jua unachoma hata ndani.

Jua umekomesha wale watembea na miguu, wanaungua.

Jua unajua watu hawawezi tembea lazima watumie usafiri wa Boda, Uber ili watoke na hapo ni pesa hizo zinachomwa..

Jua unajua ukituchoma, unachoma pesa, maana hatulali bila kununua umeme..

Ndio lazima tuwashe AC na Feni bila hivyo hakulaliki ndani...

Jua unajua hatuwezi kukaa na kiu wakati unatuchoma lazima tununue maji...

Maji yanauzwa ujue, unatuchoma alafu unachoma na maokoto...

Unatuchoma Sasa tunachoma pesa kwa kununua vinywaji baridi...

Jua unajua majasho yanatoka kama maji lazima tufue, tutanunua sabuni ni pesa...

Jua umetunyoosha maana wauzaji bidhaa wa mtaani wananyooka na jua...

Jua unajua pesa saivi zinatafutwa kwa manati...

Shikamoo Jua unachoma mpaka pesa
 
Ungeandika kwa mfumo wa ushairi ungepiga pesa ndefu! Hizi beti na vina zimeenda shule
 
Screenshot_20231027-173652_1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom